Kuza Jukwaa lako mtandaoni


Ni kitabu chenye kurasa 9 tu ambacho ndani yake imeelezea namna ya kupata wafuasi wengi ndani ya muda mfupi katika mitandao ya kijamii.


book cover

Intro Section

 • client1
 • client2
 • client3
 • client4
 • client5
 • client6
 • client7
 • client8
 • client9
 • client10
 • "Nimesoma kitabu kipo vizuri sana nimejifunza mengi, kuna mengi nilikuwa nakosea, now nimepata mwangaza, ngoja niingize kwenye utendaji"

 • "Kaka nimesom akitabu chako nimejifunza kitu kipya na nimejua siri ya wengine wakubwa kuwa na soko kubwa kuliko sisi tukikua tunakurupuka"

 • "Je kuna muendelezo wa kitabu hichi.. Nime kipenda hakika."

 • "Nashukuru kwa kitabu chenu, ni kizuri pia nimejifunza kitu kipya na nakifanyia kazi kuona matokeo yake."

 • "Nashukuru nimemaliza ni kizuri na kimenibadilisha sasa naomba nipate kingine."

 • "Nimekimaliza kitabu, nimejifunza vitu vingi sana na muhimu sana."

 • people 1

  Khafs

  Oasis Tech Client

 • people 2

  Adam Said

  Oasis Tech Client

 • people 3

  Henry

  Oasis Tech Client

 • people 4

  Ahazi

  Oasis Tech Client

 • people 5

  Godfrey Lucas

  Oasis Tech Client

 • people 6

  Bakari Ally

  Oasis Tech Client

Ni kitabu chenye kurasa 9 tu ambacho ndani yake imeelezea namna ya kupata wafuasi wengi ndani ya muda mfupi katika mitandao ya kijamii.

 • - - -

  Kanuni ya 80/20 inayotumiwa na wafanyabiashara nguli duniani.

 • - - -

  Namna ya kupata maudhui kutokana na shughuli unayofanya kwa haraka.

 • - - -

  Tovuti za bure za kutengenezea matangazo bila ya kuwa na ujuzi wa graphic design (hata kwa simu tu)


Kundi la Whats App

Je, unaswali lolote kuhusu kukuza biashara yako?

Ungana na wafanyabiashara wenzako zaidi ya 300 katika kundi la WhatsApp. Humo huwa kunatolewa masomo na taarifa mbalimbali za namna ya kupata wateja na kuuza mtandaoni. Unachelewa, usikubali kupitwa jiunge sasa.

Sample Book

Chapisho au nakala ya kidijitali

Kuza Jukwa Lako Mtandaoni.

 • Tsh0.00Ni bure hakuna malipo yoyote.

Oasis Technologies

Ni kampuni inayojihusisha na maswala ya kiteknolojia

 • Kimepakuliwa zaidi ya mara 300

  Kitabu hiki kimepakuliwa na kusomwa na watu zaidi ya 300.

 • Tatua changamoto za mtandaoni

  Ungana nasi tuweze kutatua changamoto zake na uwe mmoja wa washindani kibiashara mtandani.

 • Pata elimu na ujuzi stahiki

  Pata elimu zaidi juu ya maswala ya kimtandao yenye tija na faida kwa biashara yako.

About

Download Form


Jina lako *

Terms and Conditions
Download Formtafadhali subiri kwa sekunde 10 wakati tunaanda file lako ili uweze kupakua.
Pakua Sasa!